RATIBA ya Mechi za Taifa Stars Kufuzu AFCON | Katika juhudi za kuwania nafasi kwenye fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, timu ya Taifa Stars ya Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa katika kundi H. Fainali hizi zinatarajiwa kufanyika nchini Morocco kuanzia Desemba 21, 2025, hadi Januari 18, 2026. Taifa Stars imepangwa kukabiliana na wapinzani wenye uzoefu mkubwa, ikiwa ni pamoja na timu za DR Congo, Guinea, na Ethiopia.
RATIBA ya Mechi za Taifa Stars Kufuzu AFCON
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), mechi za hatua ya makundi kwa ajili ya kufuzu AFCON 2025 zitafanyika kati ya Septemba 2 na Novemba 19, 2024. Katika kipindi hiki cha takriban siku 78, Taifa Stars itahitaji kuweka juhudi kubwa ili kupata tiketi ya kushiriki fainali hizo.
Ifuatayo ni Ratiba ya michezo ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwenye michezo ya kufuzu AFCON 2025:-
- Raundi ya Kwanza: Taifa Stars 0 – 0 Ethiopia – Septemba 2, 2024 (Nyumbani)
- Raundi ya Pili: Guinea 1 – 2 Taifa Stars – Septemba 10, 2024 (Ugenini)
- Raundi ya Tatu: DR Congo vs Taifa Stars – Oktoba 7, 2024 (Ugenini)
- Raundi ya Nne: Taifa Stars vs DR Congo – Oktoba 15, 2024 (Nyumbani)
- Raundi ya Tano: Ethiopia vs Taifa Stars – Novemba 11, 2024 (Ugenini)
- Raundi ya Sita: Taifa Stars vs Guinea – Novemba 19, 2024 (Nyumbani)
ANGALIA PIA:
Leave a Reply