RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024, Ratiba Michezo ya Ngao ya Jamii 2024 hadharani.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza tarehe rasmi za michezo ya michuano ya Ngao ya Jamii kwa msimu wa 2024-25 ambapo michezo hiyo itachezwa kati ya Agosti 8 hadi Agosti 11, 2024.

Timu 4 ambazo zitashiriki michuano hiyo msimu huu ni Bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Yanga SC, Bingwa mtetezi wa Ngao ya Jamii, Simba Sc, Azam FC na Coastal Union.

Aidha taarifa ya TFF haijabainisha ni wapi michezo hiyo itapigwa kwa msimu huu. Msimu uliopita michezo ya Ngao ya Jamii ilichezwa katika dimba la Mkwakwani Jijini Tanga.

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024

08/08/2024: Azam vs Coastal Union

09/08/2024: Simba SC vs Yanga SC

RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024
RATIBA ya Ngao ya Jamii 2024

Mshindi wa Tatu

10/08/2024: Azam/Coastal Union VS Simba/Yanga

Fainali

11/08/2024: Azam/Coastal Union VS Simba/Yanga

SEE ALSO: