Ratiba ya Simba Mwezi September 2024 NBC na CAF

Ratiba ya Simba Mwezi September 2024 NBC na CAF | Ratiba ya Michezo yote ya Simba kwa mwezi wa September msimu huu wa 2024/2025.

Miongoni mwa miezi migumu kwa Simba kwenye msimu huu wa 2024-25 ni pamoja na mwezi huu wa September ambapo Simba wanakabiliwa na michezo migumu tupu na inayoitaji matokeo.

Mwezi huu Simba anakabiliwa na michezo ya CAF pamoja na NBC ambapo kwenye michezo miwili ya CAF Simba wanaitaji kufanya kila jitiada wafuzu kwenda hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Kwenye michezxo miwili ya NBC Simba inakabiliwa na Dabi ya Mzizima ambapo watacheza na waasimu wao Azam kwenye mchezo wa 3 wa ligi kuu Tanzania Bara  NBC.

Ratiba ya Simba Mwezi September 2024 NBC na CAF

Ifuatayo ni mchanganuo wa ratiba ya klabu ya Simba Sport kwenye michezo minne ya mwezi wa September msimu huu wa 2024/2025:-

Ratiba ya Simba Mwezi September 2024 NBC na CAF
Ratiba ya Simba Mwezi September 2024 NBC na CAF
  • 15 Septemba 2024: Simba SC itacheza ugenini dhidi ya Al Ahli Tripoli katika raundi ya pili ya kufuzu kwa hatua ya makundi ya CAF Confederation Cup.
  • 22 Septemba 2024: Simba SC itarejea nyumbani kwa mechi ya marudiano dhidi ya Al Ahli Tripoli katika michuano hiyo hiyo ya CAF Confederation Cup.
  • 26 Septemba 2024: Simba SC itakutana na Azam FC ugenini katika mechi ya Ligi Kuu ya NBC.
  • 29 Septemba 2024: Simba SC itacheza dhidi ya Dodoma Jiji FC, mechi nyingine ya Ligi Kuu ya NBC, pia ugenini.

Hii ni ratiba yenye changamoto kwa Simba SC, ikihusisha mechi mbili za kimataifa na mechi mbili za ndani ya nchi.

ANGALIA PIA: