RATIBA ya UEFA Champions League 2024/25 Matchday 1

RATIBA ya UEFA Champions League 2024/25 Matchday 1 | Awamu ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA 2024/25 inatarajiwa kuanza Septemba 18, 2024, na msimu huu unakuja na mabadiliko makubwa kwenye muundo wa mashindano. Badala ya hatua za makundi, sasa kutakuwa na awamu ya ligi ambapo timu 36 zitatunishiana misuli.

Kila timu itacheza jumla ya mechi nane (nne nyumbani na nne ugenini) dhidi ya wapinzani tofauti. Baada ya hatua hii, timu nane bora zitaingia moja kwa moja kwenye raundi ya mtoano (Round of 16), wakati timu zilizo nafasi ya 9 hadi 24 zitapambana kwenye mchujo ili kujihakikishia nafasi ya kuendelea​.

RATIBA ya UEFA Champions League 2024/25 Matchday 1

17/09/2024 17:45 Juventus Juventus PSV Eindhoven PSV Eindhoven
17/09/2024 17:45 BSC Young Boys BSC Young Boys Aston Villa Aston Villa
17/09/2024 20:00 Bayern München Bayern München Dinamo Zagreb Dinamo Zagreb
17/09/2024 20:00 Real Madrid Real Madrid VfB Stuttgart VfB Stuttgart
17/09/2024 20:00 AC Milan AC Milan Liverpool FC Liverpool FC
17/09/2024 20:00 Sporting CP Sporting CP Lille OSC Lille OSC
18/09/2024 17:45 Bologna FC Bologna FC Shakhtar Donetsk Shakhtar Donetsk
18/09/2024 17:45 AC Sparta Praha AC Sparta Praha RB Salzburg RB Salzburg
18/09/2024 20:00 Manchester City Manchester City Inter Inter
18/09/2024 20:00 Paris Saint-Germain Paris Saint-Germain Girona FC Girona FC
18/09/2024 20:00 Club Brugge KV Club Brugge KV Borussia Dortmund Borussia Dortmund
18/09/2024 20:00 Celtic FC Celtic FC Slovan Bratislava Slovan Bratislava
19/09/2024 17:45 Feyenoord Feyenoord Bayer Leverkusen Bayer Leverkusen
19/09/2024 17:45 Crvena Zvezda Crvena Zvezda SL Benfica SL Benfica
19/09/2024 20:00 Atalanta Atalanta Arsenal FC Arsenal FC
19/09/2024 20:00 Atlético Madrid Atlético Madrid RB Leipzig RB Leipzig
19/09/2024 20:00 AS Monaco AS Monaco FC Barcelona FC Barcelona
19/09/2024 20:00 Stade Brestois 29 Stade Brestois 29 Sturm Graz Sturm Graz

ANGALIA PIA: