Ratiba ya CECAFA U20 Kufuzu AFCON 2024

Ratiba ya CECAFA U20 Kufuzu AFCON 2024 | Hii ni ratiba ya mashindano ya CECAFA U-20 yanayotarajiwa kuanza tarehe 6 Oktoba 2024. Ratiba ya mechi za makundi, kuanzia kundi A na kundi B, zikifanyika kwenye viwanja tofauti.

Mechi za hatua ya makundi zinaendelea hadi tarehe 15 Oktoba, zikifuatiwa na nusu fainali tarehe 18 Oktoba, mechi ya kutafuta mshindi wa tatu tarehe 20 Oktoba, na fainali ambayo itafanyika pia tarehe 20 Oktoba saa 18:30.

Ratiba ya CECAFA U20 Kufuzu AFCON 2024

Ifuatayo ni Ratiba ya CECAFA U20 Kufuzu AFCON 2024 ya michezo yote ikiwemo Tanzania U20 na nyingine:-

  1. Sudan Djibouti – 06/10/2024, saa 13:00, Maj. Gen. Isamuhyo Stadium (Group A)
  2. Tanzania Kenya – 06/10/2024, saa 16:00, Maj. Gen. Isamuhyo Stadium (Group A)
  3. South Sudan Burundi – 07/10/2024, saa 13:00, KMC Stadium (Group B)
  4. Uganda Ethiopia – 07/10/2024, saa 16:00, KMC Stadium (Group B)
  5. Tanzania Djibouti – 08/10/2024, saa 13:00, Maj. Gen. Isamuhyo Stadium (Group A)
  6. Sudan Rwanda – 08/10/2024, saa 16:00, KMC Stadium (Group A)
  7. Uganda Burundi – 09/10/2024, saa 13:00, KMC Stadium (Group B)
  8. South Sudan Ethiopia – 09/10/2024, saa 16:00, KMC Stadium (Group B)
  9. Rwanda Kenya – 10/10/2024, saa 13:00, KMC Stadium (Group A)
  10. Tanzania Sudan – 10/10/2024, saa 15:00, KMC Stadium (Group A)
  11. Burundi Ethiopia – 11/10/2024, saa 13:00, KMC Stadium (Group B)
  12. Uganda South Sudan – 11/10/2024, saa 15:00, Maj. Gen. Isamuhyo Stadium (Group B)
  13. Djibouti Kenya – 13/10/2024, saa 13:00, Maj. Gen. Isamuhyo Stadium (Group A)
  14. Tanzania Rwanda – 14/10/2024, saa 15:00, Maj. Gen. Isamuhyo Stadium (Group A)
  15. Sudan Kenya – 15/10/2024, saa 13:00, KMC Stadium (Group A)
  16. Rwanda Djibouti – 15/10/2024, saa 15:00, Maj. Gen. Isamuhyo Stadium (Group A)

Hatua ya Nusu Fainali

17. Ranked 1 Group B Ranked 2 Group A – 18/10/2024, saa 15:00, TBC
18. Ranked 1 Group A Ranked 2 Group B – 18/10/2024, saa 18:30, TBC

Hatua ya Kutafuta Nafasi ya Tatu

19. Loser M#17 Loser M#18 – 20/10/2024, saa 15:00, TBC

Fainali

20. Winner M#17 Winner M#18 – 20/10/2024, saa 18:30, TBC

ANGALIA PIA: