Matokeo Ya UEFA Champions League Jana 17/09/2024

Matokeo Ya UEFA Champions League Jana 17/09/2024 | Yafuatayo ni matokeo ya michezo ya jana ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA kwa msimu wa 2024/2025.

Matokeo ya UEFA: Ushindi Mzito kwa Bayern na Liverpool Yaaza kwa Kishindo

Matokeo ya mechi za UEFA zimeleta matukio ya kuvutia, huku Bayern Munich wakipata ushindi mkubwa wa 9-2 dhidi ya Dinamo Zagreb. Liverpool pia waliibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya AC Milan katika mechi ngumu jijini Italia. Real Madrid walipata ushindi wa 3-1 dhidi ya Stuttgart, na Juventus walionyesha ubabe kwa kuifunga PSV 3-1. Aston Villa walipata ushindi wa ugenini wa 3-0 dhidi ya Young Boys, huku Sporting Lisbon wakilaza Lille kwa mabao 2-0.

Matokeo Ya UEFA Champions League Jana 17/09/2024

Matokeo Ya UEFA Champions League Jana 17/09/2024
Matokeo Ya UEFA Champions League Jana 17/09/2024

⏱️ :

Juventus 3-1 PSV
Young Boys 0-3 Aston Villa
AC Milan 1-3 Liverpool
Real Madrid 3-1 Stuttgart
Sporting 2-0 Lille
Bayern 9-2 Dinamo

Hii inadhihirisha ushindani wa hali ya juu kati ya vilabu vya Ulaya.

ANGALIA PIA: